Mesut Ozil asaini mkataba mpya apewa jezi namba 10

Mesut Ozil kiungo fundi wa Arsenal inasemekana amekubali kusaini mkataba mpya na kukubali kubakia Arsenal kwa kipindi kirefu kijacho,taarifa hizo zinadai atakabidhiwa jezi namba 10 kama sehemu ya makubaliano hayo pamoja na kuongezewa … [Continue reading]

Arsenal 3 – 0 Chelsea – Mambo Matano niliyoyaona

Baada ya refa kupuliza kipenga cha kumaliza mpira na ubao kusemeka Arsenal 3-0 Chelsea ilikuwa ni furaha kubwa sana kwa mashabiki wa Arsenal.Arsenal ilikuwa haijaifunga Chelsea kwenye ligi kuu katika ligi kuu ya Uingeleza toka mwaka 2011.Kwa hiyo … [Continue reading]

Ni wakati muafaka wa kuwafunga Chelsea

Leo Arsenal inaikaribisha Chelsea katika mchezo utakaofanyika katika uwanja wa nyumbani wa Arsenal, Emirates. Katika michezo inayowakutanisha watani hao wa jadi wa jiji la London Arsenal imekuwa ikifanya vibaya katika siku za hivi karibuni,mara ya … [Continue reading]

Alex Iwobi-Ndiye Mfalme Mpya Arsenal?

Alex Iwobi mchezaji kinda wa Arsenal mwenye umri wa miaka 20 amekuwa akicheza vizuri kiasi cha kwamba tangu apandishwe kikosi cha kwanza msimu uliopita amekuwa akianza michezo mingi ambayo Arsenal imecheza katika kipindi hicho. Kila shabiki wa … [Continue reading]

Lucas Perez afunga magoli mawili Arsenal ikishinda 4-0

Lucas Perez aliifungia Arsenal kwa mara ya kwanza hapo jana wakati Arsenal ikipata ushindi wa kishindo wa goli 4-0 na kufanikiwa kuingia raundi ya nne ya kombe la EFL. Pamoja na kubadilisha kikosi kizima,Arsenal walicheza vizuri sana na pia … [Continue reading]

Kombe la ligi-Arsenal kuivaa Nottingham Forest ugenini

Arsenal leo hii inatarajiwa kujitupa uwanjani kupambana na timu ya daraja la kwanza ya Nottingham Forest.Arsenal ambao wamerudisha wimbi la ushidi baada ya kutoka sare na PSG jumanne iliyopita katika michuano ya ligi ya mabingwa wa ulaya,juzi … [Continue reading]

Sanchez na Iwobi waizamisha Hull City

Alexis Sanchez alifunga magoli mawili na Alex Iwobi alitoa pasi zilizozaa magoli mbili na kuisaidia Arsenal kuifunga Hull City magoli mnne kwa moja katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa KC. Alexis alifunga mara mbili na kukosa penati katika … [Continue reading]

Ligi Ya Mabingwa Ulaya-Arsenal yatoka sare na PSG

Ligi Ya Mabingwa Ulaya Katika mchezo wa kwanza wa kundi A wa ligi ya mabingwa ya ulaya kati ya timu ya PSG na Arsenal ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu na kufungana goli moja kwa moja. Katika mchezo huyo ambao Arsenal ilicheza … [Continue reading]

Kikosi Cha Arsenal Kwa Ajili Ya Msimu Mpya Chatangazwa

Kikosi cha Arsenal kwa ajili ya msimu mpya kimetangazwa. Baada ya kukamilika kwa zoezi la usajili hapo juzi kila timu ilitakiwa kusasilisha kikosi chake kamili cha wachezaji 25.Na Arsenal wameshafanya hivyo na tayari wameshapeleka orodha ya … [Continue reading]

Usajili Mpya Arsenal-Shkodran Mustafi Atua Rasmi

Katika habari za usajili mpya Arsenal ni kwamba beki nguli wa timu ya taifa ya Ujerumani Shkodran Mustafi amekamilisha uhamisho kutoka katika timu ya Valencia ya Hispania. Beki huyo mwenye umri wa miaka 24 amukuwa mchezaji wa timu hiyo ya Hispania … [Continue reading]