Tetesi za usajili-Arsenal wanamfukuzia Barella

Arsenal imeingia katika mbio za kumuwania kiungo wa Cagliari, Nicolò Barella na wapo tayari kulipa dau la paundi milioni 50 ili kumpata kiungo huyo. Mtandao wa football Italia unaandika ya kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 ambaye … [Continue reading]

Tetesi-Arsene Wenger kuwa kocha mkuu wa Bayern Munich

Kuna tetesi zimezuka usiku huu kwamba ijumaa hii timu ya Bayern Munich itamtangaza kocha wa zamani wa Arsenal,Arsene Wenger kama kocha wao mkuu. Tetesi hizo zilianza mara baada ya gazeti la Bild kuandika ya kwamba viongozi wakuu wa Bayern Munich … [Continue reading]

Taarifa ya wachezaji majeruhi wa Arsenal

Tatizo la majeruhi bado linaendelea kuikumba timu ya Arsenal, na timu ya madaktari  imetoa taarifa zifuatazo kuhusu wachezaji waliokuwa majeruhi.   Mesut Ozil Ozil alikuwa na maumivu ya mgongo, kwa sasa ameshapona na ameanza mazoezi … [Continue reading]

Wachezaji wa Arsenal katika mechi za kimataifa

Wakati ligi kuu ya Uingeleza ikiwa imesimama kupisha mechi za kimataifa, baadhi ya wachezaji wa arsenal wameshiriki katika michezo hiyo na kuzisaidia timu zao za taifa katika michezo mbalimbali. Alex Iwobi Alex Iwobi alitoa pasi ya … [Continue reading]

Thierry Henry amtaka Kwame Ampadu kama msaidizi wake

Baada ya kuteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya Monaco, Thierry Henry ana mpango wa kumfanya kocha wa timu ya vijana wa Arsenal Kwame Ampadu kama msaidizi wake. Kocha huyo wa viajana wa arsenal ambaye pia ni baba mzazi wa mchezaji wa … [Continue reading]

Thierry Henry kuwa kocha mkuu wa Monaco

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry leo amefungua ukurasa mpya kisoka baada ya kuteuliwa kuwa kocha mkuu wa Monaco ya nchini Ufaransa. Mchezaji huyo ambaye alianzia kucheza soka la kishindani katika timu hiyo ameamua kurudi na … [Continue reading]

Tetesi-Arsenal wanampango wa kusajili Eric Bailly

Kuna taarifa za kwamba Arsenal wana mpango wa kumsajili beki wa Manchester United Eric Bailly, hii ni kwa mujibu wa gazeti la The Guardian. Eric Bailly ambaye alikuwa ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha wa Manchester United Jose Mourinho … [Continue reading]

Vijana wa Freddie Ljungberg wafanya mazoezi ya timu ya wakubwa

Pamoja ya kwamba wachezaji wengi wa Arsenal wameondoka na kwenda kujiunga na timu zao za taifa ,Arsenal jana iliendelea na mazoezi katika viwanja vya London Colney. Katika mazoezi hayo yaliyoongozwa na kocha mkuu Unai Emery akisaidiwa na kocha … [Continue reading]

Bernd Leno aitwa timu ya taifa ya Ujerumani

Golikipa wa Arsenal, Bernd Leno ameitwa na timu ya taifa ya Ujerumani ili kuichezea katika kombe la  UEFA Nations League. Timu ya Taifa ya Ujerumani itacheza na timu za taifa za Ufaransa na Uholanzi katika michuano hiyo. Leno ameitwa kuchukua … [Continue reading]

Rasmi-Arsenal yatangaza kuingia mkataba Adidas

Arsenal leo imedhibitisha kuingia mkataba na kampuni ya Adidas kama mtengenezaji mkuu wa jezi za Arsenal kuanzia msimu ujao. Arsenal ilitangaza habari hizo kupitia ukurasa wake rasmi wa twitter na bado hakuna taarifa za kina kuhusu mkataba huo … [Continue reading]