Kikosi kamili cha Arsenal kwa ajili ya ligi kuu ya Uingeleza

Kikosi kamili cha Arsenal kitakachoshirikia katika ligi kuu ya Uingeleza kwa msimu huu wa 2018/19 kimetangazwa, katika kikosi hicho yapo majina ya wachezaji waliopo kwa mkopo kama Kalechi Nwakali na Krystian Bielik.

IKikosi kamili cha Arsenal kwa ajili ya ligi kuu ya Uingeleza

Kisheria timu inatakiwa kutangaza kikosi cha kwanza chenye wachezaji 25 huku wachezaji ambao sio wazawa wanatakiwa wasizidi 18 na waliobaki lazima wawe wazawa.

Timu inaweza ikatumia idadi yeyote ya wachezaji wenye umri chini ya miaka 21.

Kikosi kamili cha Arsenal katika msimu huu wa 2018/19

Kikosi cha wachezaji 25 (*=Mchezaji mzawa)

Aubameyang, Pierre-Emerick
Bellerin, Hector*
Bramall, Cohen
Cech, Petr
Elneny, Mohamed Naser Elsayed
Holding, Robert Samuel*
Iliev, Deyan*
Iwobi, Alex*
Jenkinson, Carl Daniel*
Kolasinac, Sead
Koscielny, Laurent
Lacazette, Alexandre
Leno, Bernd
Lichtsteiner, Stephan
Martinez, Damian Emiliano*
Mkhitaryan, Henrikh
Monreal, Ignacio
Mustafi, Shkodran
Ozil, Mesut
Papastathopoulos, Sokratis
Ramsey, Aaron James*
Torreira, Lucas
Welbeck, Daniel*
Xhaka, Granit

Kikosi cha wachezaji wenye umri chini ya miaka 21

Alebiousu, Ryan
Amaechi, Xavier Casmier
Ballard, Daniel George
Balogun, Folarin Jerry
Barden, Daniel
Bielik, Krystian
Bola, Tolaji
Burton, Robert
Clarke, Harrison Thomas
Cottrell, Ben
Coyle, Trae
Daley-Campbell, Vontae
Dennis, Matthew
Flaherty, Stanley James
Gilmour, Charlie Ian
Greenwood, Sam
Guendouzi, Matteo
Hein, Karl Jakob
John-Jules, Tyreece Romayo
Lopez Salguero, Joel
Maitland-Niles, Ainsley
Martin, Joshua
Matthews, Alfie
Mavropanos, Konstantinos
McEneff, Jordan John
McGuinness, Mark James
Medley, Zechariah Joshua Henry
Nelson, Reiss
Nketiah, Edward
Nwakali, Kelechi
Okonkwo, Arthur
Olayinka, Olujimi James Ayodele
Olowu, Joseph Olugbenga
Omole, Tobi
Osei-Tutu, Jordi
Pleguezuelo, Julio Jose
Saka, Bukayo
Sheaf, Ben
Smith Rowe, Emile
Smith, Matthew Gerrard
Smith, Tom
Spencer-Adams, Bayli Alexander
Swanson, Zak
Thompson, Dominic
Tormey, Nathan Alexander
Willock, Joseph George
Zelalem, Gedion

Hicho ndicho kikosi kamili cha Arsenal kwa ajili ya msimu huu wa ligi, ikumbukwe ya kwamba timu haziwezi kubadilisha majina hayo hadi dirisha la usajili mwezi wa kwanza na pia mchezaji anahesabika kama mzawa kama amekuwa katika timu iliyo chini ya chama cha soka cha Uingeleza au Wales kwa muda usiopungua miezi 36 kabla ya kufikisha miaka 21 haijalishi ni raia wa nchi gani ndiyo maana wachezaji kama Hector Bellerin na Emi Martinez wanahesabika kama wazawa.

Speak Your Mind

*