Arsenal Vs Everton-Mambo matano niliyoyaona

Juzi jumapili Arsenal ilipata ushindi wake wa tano chini ya kocha Unai Emery baada ya kuifunga timu ya Everton kwa magoli 2-0. Katika mchezo huo kuna mambo mengi sana yaliyotokea ila haya mabo matano ndiyo yaliyovuta fikra zangu zaidi. Petr Cech … [Continue reading]

Arsenal yapata ushindi wa tano chini ya Unai Emery

Baada ya kuanza ligi kwa kusua sua na kupoteza michezo yake miwili ya mwanzo, Arsenal chini ya kocha Unai Emery inaonekana ya kwamba imeanza kubadika na imefanikiwa kushinda michezo yake mitano, minne ikiwa ni ya ligi kuu ya Uingeleza na mmoja ni … [Continue reading]

Arsenal yatangaza uongozi mpya

Baada ya leo kutangaza ya kwamba kiongozi wake mkuu Ivan Gazidis atatimkia AC Milan, Bodi ya Arsenal imetangaza uongozi mpya. Katika uongozi mpya Raul Sanllehi anakuwa mkurugenzi wa soka na Vinai Venkatesham anakuwa mkurugenzi wa … [Continue reading]

Rasmi Ivan Gazidis kuondoka Arsenal

Mkurugenzi wa Arsenal, Ivan Gazidis anatajariwa kuondoka Arsenal mwishoni mwa mwezi ujao na kutimkia katika timu ya AC Milan ya Italia. Ivan Gazidis ambaye alikuwa mkurugenzi mtendaji wa Arsenal kwa miaka 10, ameamua kuondoka na kwenda AC … [Continue reading]

KOSCIELNY AANZA KUCHEZA NA MPIRA & TORREIRA YUPO FITI

Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutoka na kuwa majeruhi. Nahodha wa Arsenal, Laurent Koscielny ameanza mazoezi ya kucheza na mpira. Katika ukurasa rasmi wa twitter wa Arsenal, kuliwekwa video inayomuonesha beki huyo wa kimataifa wa … [Continue reading]

Mechi za kimataifa-Aaron Ramsey afunga

Wakati ligi mbali mbali duniani zikiwa zimesimama kupisha mechi za kimataifa, jana Arsenal iliwakilishwa na wachezaji wawili katika mechi hizo. Aaron Ramsey Ramsey aliifungia Wales katika mchezo wa kwanza wa  UEFA Nations League … [Continue reading]

Matteo Guendouzi awa mchezaji bora wa mwezi wa nane

Wakati Arsenal ikimsajili Matteo Guendouzi mwezi wa saba mwaka huu wengi wetu tuliamini ya kwamba kiungo huyo mwenye umri wa mikiaka 19 alikuwa anasajiliwa kwa wakati ujao. Nilitegemea ya kwamba jambo la maana lilikuwa ni kumtoa kwa mkopo … [Continue reading]

Eddie Nketiah afanya mazoezi na kikosi cha wakubwa cha Uingeleza

Mshambuliaji kinda wa Arsenal Eddie Nketiah jana aliitwa na kufanya mazoezi na kikosi cha wakubwa cha timu ya taifa ya Uingeleza. Mshambuliaji huyo mwenye uwezo mkubwa wa kufunga alipata nafasi hiyo baada ya kuwa katika kikosi cha Uingeleza … [Continue reading]

Arsenal yamsajili mtoto mwenye kipaji kikubwa Jayden Adetiba

Wakati dirisha la usajili likiwa limefungwa, Arsenal imeendelea kuwa bize katika kutafuta wachezaji wa kuichezea timu hiyo kwa sasa ama miaka ijayo baada ya kukamilisha usajili wa Jayden Adetiba, mtoto mwenye umri wa miaka 9 kutosa Afrika ya … [Continue reading]

Kikosi kamili cha Arsenal kwa ajili ya ligi kuu ya Uingeleza

Kikosi kamili cha Arsenal kitakachoshirikia katika ligi kuu ya Uingeleza kwa msimu huu wa 2018/19 kimetangazwa, katika kikosi hicho yapo majina ya wachezaji waliopo kwa mkopo kama Kalechi Nwakali na Krystian Bielik. Kisheria timu inatakiwa … [Continue reading]

Per Mertesacker aanza kazi Arsenal

Per Mertesacker ameanza kazi rasmi kama meneja wa chuo cha soka cha arsenal baada ya kuishuudia timu ya Arsenal ya vijana wenye umri wa miaka 18 ikicheza na Chelsea jumamosi iliyopita. Baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo mwanzoni kwa mwaka … [Continue reading]