Tetesi-Calum Chambers anakaribia kutua Fulham kwa mkopo

Beki wa kati wa Arsenal, Calum Chambers anakaribia kutua Fulham kwa mkopo wa mwaka mmoja.Katika taarifa tulizozipata kutoka kwa vyanzo mbalimbali ni kwamba leo jumatatu mchezaji huyo atafanyiwa vipimo vya afya na kukamilisha uhamisho … [Continue reading]

Arsenal yaifunga Lazio 2-0

Arsenal leo ilicheza mchezo wake wa mwisho wa kirafiki na kufanikiwa kumaliza kwa ushindi baada ya kuifunga timu ya Lazio ya Itali kwa jumla ya goli 2-0. Goli la Reiss Nelson katika kipindi cha kwanza na la Aubamayang katika kipindi cha pili … [Continue reading]

Joao Virginia ajiunga na Everton

Arsenal imeendelea kusafisha kikosi chake baada ya golikipa wa timu ya vijana Joao Virginia kukamilisha usajili na kujiunga na timu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingeleza. Habari za kuhama kwa Joao Virginia zimewaacha kwa mshangao … [Continue reading]

Alex Iwobi asaini mkataba mpya wa muda mrefu ili kubaki Arsenal

Alex Iwobi amesaini mkataba mpya na wa muda mrefu ili kuendelea kuichezea Arsenal.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 ni mhitimu wa chuo cha soka cha Arsenal cha Hale End na amekuwa katika timu tangu akiwa na miaka 9. Iwobi … [Continue reading]

Chuba Akpom ajiunga na PAOK

Mshambuliaji mwenye asili ya Nigeria Chuba Akpom has  amejiunga na timu ya kigiriki PAOK Salonika katika mkataba wa kudumu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na chuo cha soka cha Arsenal akiwa na umri wa miaka 6.Aliichezea kwa … [Continue reading]

Arsenal yaifunga Chelsea katika mchezo wa kirafiki

Alex Iwobi alifunga penati ya ushindi na kuisaidia Arsenal kuifunga Chelsea kwa penati 6-5 katika mchezo mkali kuwania kombe la kimataifa uliofanyika mjini Dublin. Second-half substitute Iwobi held his nerve to clinch victory for the Gunners at … [Continue reading]

Lucas Torreira na Stephan Lichtsteiner waanza mazoezi Arsenal

Wachezaji wapya wa Arsenal,Lucas Torreira na Stephan Lichtsteiner jana walianza rasmi  mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa ligi na michezo mingine. Nacho Monreal, Joel Campbell na Granit Xhaka pia wamerudi na kuanza mazoezi katika … [Continue reading]

Tetesi-Barcelona wanataka kubadilishana Dembele na Aaron Ramsey

Barcelona wapo tayari kumuachia Ousmane Dembele ajiunge na Arsenal kwa sharti moja tu, Arsenal iwape Aaron Ramsey. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa amehusishwa na kuhamia Arsenal mara nyingi katika dirisha hili la usajili na kuna tetesi … [Continue reading]

JOAO VIRGINIA ASHINDA EURO U19 NA URENO

Golikipa wa Arsenal,Joao Virginia alianza jana katika mchezo wa fainali za Uero 2018 kwa vijana wenye umri ya miaka 19 na kuisadia timu ya taifa ya Ureno kushinda kombe hilo. Virginia ambaye amefanya vizuri katika timu za vijana za Arsenal kwa … [Continue reading]

Lucas Torreira safarini kuelekea London

Kiungo mpya wa Arsenal, Lucas Torreira tayari ameshaondoka nyumbani kwao Uruguay,na kesho jumapili anatazamiwa kuwasili London, tayari kujiuna na kuanza mazoezi na Arsenal Jumatatu. Mchezaji huyo ambaye alisajiliwa katika dirisha hili la usajili … [Continue reading]

Arsenal yaipiga mkono PSG

Timu ya Arsenal imewafunga mabingwa wa Ufaransa PSG, kwa jumla ya magoli 5-1 katika mchezo wa kirafiki kugombea kombe la kimataifa. Katika mchezo huyo tulishuhudia Mesut Özil akianza na pia akivaa kitambaa cha unahodha wa Arsenal kwa mara ya … [Continue reading]