Tetesi za usajili Arsenal-Marouane Fellaini ahusishwa kuhamia Arsenal

Katika tetesi za usajili leo kuna taarifa ya kwamba Arsenal ina mpango wa kumsajili kiungo anayemaliza mkataba wake machester United, Marouane Fellaini. Katika taarifa iliyoandikwa katika mitandao tofauti na kuwaacha vinywa wazi mashabiki … [Continue reading]

Ratiba ya mechi za kirafiki za Arsenal

Baada ya kufanya vibaya katika msimu uliopita Arsenal inajipanga upya ili isirudie makosa yale yale katika msimu ujao, moja ya mabadiliko makubwa ni kuondoka kwa kocha Arsene Wenger aliyekuwa na timu kwa miaka 22. Pia kuna mabadiliko mengi makubwa … [Continue reading]

Mechi kati ya wakongwe wa Arsenal na wakongwe wa Real Madrid

Leo kutakuwa na  mchezo kati ya wachezaji wakongwe wa timu ya Arsenal na wachezaji wakongwe wa Real. Mchezo huo utakaofanyika leo katika uwanja wa Santiago Bernabeu utakuwa ni wa kwanza, kwani mchezo wa marudiano utakuwa tarehe 8 ya mwezi wa tisa … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Stephen N’Zonzi-Caglar Soyuncu-Corentin Tolisso-Ousmane Dembele

Dirisha la usajili likiwa limefunguliwa huku Arsenal ikiwa bado haijakamilisha usajili hata mmoja, wachezaji kadhaa wameendelea kuhusishwa na kusajiliwa Arsenal. Katika tetesi za usajili wa  Arsenal subuhi ya leo nakuletea orodha ya wachezaji … [Continue reading]

Tumerudi tena

Kwanza kabisa ningependa kuwaomba samahani wadau wote wanaotuunga mkono kwa kushindwa kuwa hewani kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja. Sababu kubwa za kupotea ni mbili. Moja, kulikuwa na matatizo ya kiufundi ambayo yalisababisha kupoteza … [Continue reading]