Arsenal yaichapa Crawley town kwa magoli 9-0

Arsenal leo ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Crawley town na kufanikiwa kuifunga timu hiyo kwa jumla ya goli 9-0. Katika mchezo huyo uliofanyika ndani ya viwanja vya mazoezi vya Arsenal,London Colney.Ulifanyika kwa siri na hakuna mashabiki … [Continue reading]

Tetesi za usajili-Chelsea wanamtaka Petr Cech

Kuna tetesi za kwamba Chelsea wana mpango wa kumsajili mchezaji wao wa zamani na golikipa wa sasa wa Arsenal Petr Cech. Watoto hao wa darajani wapo sokoni kutafuta golikipa mpya baada ya kuwa na taarifa ya kwamba golikipa wao wa sasa Thibaut … [Continue reading]

Tetesi-Arsenal kuwauza Danny Welbeck, David Ospina na wachezaji wengine

Wakati Arsenal ikiendelea na mazoezi ya kujiandaa na msimu ujao wa ligi na michezo mingine, kuna tetesi za kwamba Arsenal ina mpango wa kuwauza wachezaji kadhaa wakiwemo Danny Welbeck na David Ospina ili kupunguza ukubwa wa kikosi. Mpaka sasa … [Continue reading]

Mesut Özil kusafiri na Arsenal kuelekea Singapore

Kocha mkuu wa Arsenal, Unai Emery amedhibitisha ya kwamba kiungo mchezeshaji wa Arsenal, Mesut Özil atakuwa ni mmoja ya wachezaji watakaosafiri na Arsenal kuelekea nchini Singapore  katika ziara ya michezo na mazoezi ya  kujiandaa na msimu mpya wa … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Andre Gomes-Dembele na Pavon

Wakati Arsenal ikiendelea na mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya,magazeti mengi yameendelea kuihusisha na usajili wa wachezaji mbali mbali, leo tunakuletea tetesi za usajili zinazowahusu wachezaji Andre Gomes,Dembele na Pavon. Andre Gomes Arsenal … [Continue reading]

Boreham Wood 0-8 Arsenal

orreJana Arsenal ilianza vyema maisha mapya chini ya kocha Unai Emery baada ya kuichapa timu ya Boreham Wood kwa goli 8-0 katika mchezo wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi. Mashabiki wengi wa Arsenal walionekana kuwa na … [Continue reading]

Arsenal yakamilisha usajili wa Sam Greenwood.

Timu ya Arsenal imekamilisha usajili wa mshambuliaji kinda kutoka chuo cha soka cha Sunderland,Sam Greenwood. Katika taarifa rasmi iliyotolewa na tovuti ya timu ya Sunderland, ni kwamba mchezaji huyo alikataa mkataba mpya wa kuendelea … [Continue reading]

Rasmi-Arsenal yakamilisha usajili wa Matteo Guendouzi

Arsenal imeendelea na juhudi zake za kujipanga upya baada ya kumalilisha usajili wake wa tano msimu huu baada ya kukamilisha usajili wa kinda Matteo Guendouzi. Matteo Guendouzi ambaye ni kiungo mfaransa mwenye umri wa miaka 19 anajiunga na … [Continue reading]

#TimeForTorreira-Arsenal yakamilisha usajili wa Lucas Torreira

Timu ya Arsenal imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutoka Uruguay Lucas Torreira.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alishiriki katika michuano ya kombe la dunia nchini Russia ambapo alicheza vizuri kiasi cha kuvutia watu wengi. Baada ya … [Continue reading]

Tetesi za usajili-Arsenal wakubaliana na FC Lorient kuhusu uhamisho wa Matteo Guendouzi

Arsenal imefikia makubaliano na timu ya Ligue 2 FC Lorient kuhusu uhamisho wa kiungo wa kati Matteo Guendouzi. Arsenal imekubali kuilipa timu hiyo ya Ufaransa ada yenye dhamani ya Euro milioni 8 na bonasi nyingine ambazo … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Chuky Lozano na Hector Herrera wanatakiwa na Arsenal

Habari kutoka Mexico zinadai ya kwamba Arsenal ina mpango wa kuwasajili Chuky Lozano na Hector Herrera katika dirisha hili la usajili. Kituo cha luninga cha ESPN Mexico jana jioni kilitoa taarifa ya kwamba wachezaji hao wawili wanatakiwa na timu … [Continue reading]