JACK WILSHERE –Kipaji cha hali ya juu kilichoshindwa kufikia kilele cha mafanikio

‘Hatacheza katika timu ya wachezaji kwa muda mrefu’. Hayo yalikuwa ni maneno ya Arsene Wenger,alipokuwa akimuongelea Jack Wilshere, bado akiwa ni mwanafunzi katika shule ya  soka ya Arsenal, baada ya kuonesha kiwango cha hali ya juu katika … [Continue reading]

Jack Wilshere atangaza kuondoka Arsenal

Jack Wilshere

Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere, ametangaza rasmi kuondoka kwenye timu hiyo mara tu mkataba wake utakapofikia ukingoni mwishoni mwa mwezi huu. Mchezaji juyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa na kikosi cha Arsenal kwa miaka 17 na kuna kipindi … [Continue reading]

Rasmi-Bernd Leno ajiunga na Arsenal

Golikipa wa kijerumani  Bernd Leno amekubali kujiunga na Arsenal akitokea timu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani. Kipa huyo mwenye umri wa miaka 26 ameichezea Bayer Leverkusen michezo zaidi ya 230 katika misimu saba aliyokuwa na timu hiyo ya … [Continue reading]

Mabadiliko-Arsenal yatangaza benchi jipya la ufundi

*Arsenal yatangaza benchi jipya la ufundi *Lehman aondoka *Steve Bould abaki Arsenal imeendelea na wimbi la mabadiliko ambapo leo imetangaza benchi jipya la ufundi litakalomsaidia kocha mkuu Unai Emery. Katika mabadiliko hayo Unai … [Continue reading]

Tetesi Arsenal kutangaza usajili wa Bernd Leno kesho

Kwa zaidi ya wiki sasa kumekuwa na tetesi za kwamba Arsenal inatafuta golikipa mpya na pia kuna tetesi ya kwamba tayari wameshakubaliana na Bernd Leno ili kuja kuichezea timu hiyo ya kaskazini mwa London. Wiki iliyopita jarida la Bild … [Continue reading]

Tetesi za usajili-Napoli wanamtaka Petr Cech kwa mkopo

Timu ya Napoli inayoshiriki katika ligi kuu ya Italia imetuma maombi ili kuangalia uwezekano wa kumsajili mlinda mlando mkongwe wa Arsenal Petr Cech kwa mkopo wa mwaka mmoja. Mwandishi wa habari kutoka Italia Di Marzio ameandika katika tofuti yake … [Continue reading]

Rasmi Granit Xhaka asaini mkataba mpya

Kiungo wa Arsenal, Granit Xhaka amesajili mkataba mpya ambao utamfanya aendelee kuichezea Arsenal kwa miaka mitano ijayo. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 alikuwa ni mchezaji pekee wa Arsenal kucheza michezo yote 38 ya Arsenal … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Ospina-Torreira-Gotze-David Luiz

Wakati kombe la Dunia limeshaanza na jana wenyeji Urusi kuwafunga Saudi Arabia kwa goli 5-0, bado kuwekuwa na tetesi nyingi zikiwahusihwa wachezaji wanaotaka kuhama ama kuhamia Arsenal. Katika tetesi za usajili leo tunakuletea taarifa … [Continue reading]

Arsenal yaingia mkataba na Tidal

Arsenal imepata mdhamini mpya baada ya kuingia mkataba na kampuni ya musiki Tidal. Arsenal walitangaza jumatatu ya kwamba wameingia mtakaba na kampuni hiyo ambao inajihusisha na kusambaza mziki kwenye internet. Huu ni mkataba wa pili ndani wa … [Continue reading]

Tetesi-Tigres na Fenerbahçe wamuwania David Ospina

Timu ya Tigres itajaribu kumsajili golikipa wa Arsenal David Ospina ikiwa golikipa wao  Nahuel Guzman ataihama timu hiyo na kutimkia   Boca Juniors  ya Argentina. Tigres ambayo inashiliki ligi kuu ya Mexico, wamehusishwa na uhamisho wa Ospina … [Continue reading]

Ainsley Maitland-Niles asaini mkataba mpya, Apewa jezi namba 15

Ainsley Maitland-Niles amesaini mkataba mpya wa muda mrefu na Arsenal,katika taarifa ramsi iliyotolewa na tofuti rasmi ya Arsenal, mchezaji huyo amekubali kuendelea kuitumikia timu hiyo ya kaskazini mwa London. Akiwa amejiunga na chuo cha … [Continue reading]