Arsenal yaachana na wachezaji 9

Timu ya Arsenal imetangaza kuachana na wachezaji 9 ambao hawatakuwa katika kikosi cha msimu ujao, Ijumaa iliyopita Arsenal ilipeleka orodha ya wachezaji ambao ina mpango wa kubaki nao na pia ambao inawaacha. Pia kuna wachezaji ambao wamepewa … [Continue reading]

Tetesi-Arsenal yakamilisha usajili wa Joel Lopez kutoka Barcelona

Mwandishi wa kiispania ,Gerard Romero amehabarisha ya kwamba Arsenal imekamilisha usajili wa kinda kutoka Barcelona Joel Lopez. Joel Lopez , mwenye umri wa miaka 16 ni beki wa kushoto na amekuwa akiichezea Barcelona tangu akiwa na miaka 7 na … [Continue reading]

Tetesi-Arsenal wakubaliana na Sampdoria kuhusu uhamisho wa Lucas Torreira

Arsneal wamekubali kulipa dau la paundi milioni 25 ili kumnasa kiungo wa Sampdoria Lucas Torreira,hii ni kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo kutoka Italia Gianluca Di Marzio. Di Marzio ndiye aliyekuwa wa kwanza kutoa habari ya kwamba … [Continue reading]

Jack Wilshere ataka uhakika wa namba ili abaki Arsenal

Inasemekana ya kwamba kiungo wa Arsenal, Jack Wilshere, ametaka ahakikishiwe nafasi yake kikosini na kocha mkuu wa Arsenal, Unay Emery ili asaini mkataba mpya na kubaki katika timu hiyo. Katika habari iliyoandikwa na gazeti la … [Continue reading]

L’Equipe: Arsenal imekamilisha usajili wa Sokratis Papastathopoulos

Jarida la michezo la kifaransa  L’Equipe, linadai ya kwamba Arsenal imekamilisha usajili wa beki wa kati kutoka Borussia Dortmund, Sokratis Papastathopoulos. Sokratis, beki mzoefi aliyeichezea timu ya taifa ya Ugiriki michezo 79, amekuwa … [Continue reading]

Patrick Vieira adhibitisha kuongea na Arsenal

Kiungo na nahodha wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira, amedhibitisha ya kwamba alifanya mazungumzo na Arsenal juu ya Uwezekano wa kuchukua mikoba ya Arsene Wenger na kuwa kocha mkuu wa Arsenal. Vieira, ambaye kwa sasa anaifundisha timu … [Continue reading]

Mesut Ôzil aumia anaweza kukosa mechi ya ufunguzi kombe la dunia

Mchezaji kiungo wa Arsenal, Mesut Ôzil ameumia na kuna wasiwasi wa kwamba anaweza kukosa mchezo wa kwanza wa kombe la Dunia kati ya Ujerumani na Mexico. Ujerumani wametangaza ya kwamba kiungo huyo wa Arsenal atakosa mchezo wa kirafiki kati ya … [Continue reading]

Tetesi, Arsenal yakamilisha usajili wa kinda la PSG Yacine Adli

Kocha mpya wa Arsenal, Unai Emery anaendelea na mipango yake ya kuijenga upya timu hiyo baada ya kuwepo na taarifa ya kwamba tayari ameshakamilisha usajili wa mchezaji mwingine kutoka PSG Yacine Adli. Baada ya jana kutangaza rasmi usajili wa … [Continue reading]

Arsenal yakamilisha usajili wa Stephan Lichtsteiner

Arsenal imekamilisha usajili wa mchezaji kutoka Juventus,Stephan Lichtsteiner. Mchezaji huyo ambaye alikuwa amemaliza mkataba wake na mabingwa hao wa Italia anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha mpya wa Arsenal Unay Emery. Beki … [Continue reading]

Magoli yote 113 ya Arsenal msimu wa 2017/2018

Msimu ulioisha Arsenal iligunga magoli 113, hapa chini nimekuwekea video yenye magoli hayo yote.   Je goli lipi umelipenda zaidi ? tupia maoni yako hapa chini. … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Marouane Fellaini ahusishwa kuhamia Arsenal

Katika tetesi za usajili leo kuna taarifa ya kwamba Arsenal ina mpango wa kumsajili kiungo anayemaliza mkataba wake machester United, Marouane Fellaini. Katika taarifa iliyoandikwa katika mitandao tofauti na kuwaacha vinywa wazi mashabiki … [Continue reading]