L’Equipe: Arsenal imekamilisha usajili wa Sokratis Papastathopoulos

Jarida la michezo la kifaransa  L’Equipe, linadai ya kwamba Arsenal imekamilisha usajili wa beki wa kati kutoka Borussia Dortmund, Sokratis Papastathopoulos. Sokratis, beki mzoefi aliyeichezea timu ya taifa ya Ugiriki michezo 79, amekuwa … [Continue reading]

Patrick Vieira adhibitisha kuongea na Arsenal

Kiungo na nahodha wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira, amedhibitisha ya kwamba alifanya mazungumzo na Arsenal juu ya Uwezekano wa kuchukua mikoba ya Arsene Wenger na kuwa kocha mkuu wa Arsenal. Vieira, ambaye kwa sasa anaifundisha timu … [Continue reading]

Mesut Ôzil aumia anaweza kukosa mechi ya ufunguzi kombe la dunia

Mchezaji kiungo wa Arsenal, Mesut Ôzil ameumia na kuna wasiwasi wa kwamba anaweza kukosa mchezo wa kwanza wa kombe la Dunia kati ya Ujerumani na Mexico. Ujerumani wametangaza ya kwamba kiungo huyo wa Arsenal atakosa mchezo wa kirafiki kati ya … [Continue reading]

Tetesi, Arsenal yakamilisha usajili wa kinda la PSG Yacine Adli

Kocha mpya wa Arsenal, Unai Emery anaendelea na mipango yake ya kuijenga upya timu hiyo baada ya kuwepo na taarifa ya kwamba tayari ameshakamilisha usajili wa mchezaji mwingine kutoka PSG Yacine Adli. Baada ya jana kutangaza rasmi usajili wa … [Continue reading]

Arsenal yakamilisha usajili wa Stephan Lichtsteiner

Arsenal imekamilisha usajili wa mchezaji kutoka Juventus,Stephan Lichtsteiner. Mchezaji huyo ambaye alikuwa amemaliza mkataba wake na mabingwa hao wa Italia anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha mpya wa Arsenal Unay Emery. Beki … [Continue reading]

Magoli yote 113 ya Arsenal msimu wa 2017/2018

Msimu ulioisha Arsenal iligunga magoli 113, hapa chini nimekuwekea video yenye magoli hayo yote.   Je goli lipi umelipenda zaidi ? tupia maoni yako hapa chini. … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Marouane Fellaini ahusishwa kuhamia Arsenal

Katika tetesi za usajili leo kuna taarifa ya kwamba Arsenal ina mpango wa kumsajili kiungo anayemaliza mkataba wake machester United, Marouane Fellaini. Katika taarifa iliyoandikwa katika mitandao tofauti na kuwaacha vinywa wazi mashabiki … [Continue reading]

Ratiba ya mechi za kirafiki za Arsenal

Baada ya kufanya vibaya katika msimu uliopita Arsenal inajipanga upya ili isirudie makosa yale yale katika msimu ujao, moja ya mabadiliko makubwa ni kuondoka kwa kocha Arsene Wenger aliyekuwa na timu kwa miaka 22. Pia kuna mabadiliko mengi makubwa … [Continue reading]

Mechi kati ya wakongwe wa Arsenal na wakongwe wa Real Madrid

Leo kutakuwa na  mchezo kati ya wachezaji wakongwe wa timu ya Arsenal na wachezaji wakongwe wa Real. Mchezo huo utakaofanyika leo katika uwanja wa Santiago Bernabeu utakuwa ni wa kwanza, kwani mchezo wa marudiano utakuwa tarehe 8 ya mwezi wa tisa … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Stephen N’Zonzi-Caglar Soyuncu-Corentin Tolisso-Ousmane Dembele

Dirisha la usajili likiwa limefunguliwa huku Arsenal ikiwa bado haijakamilisha usajili hata mmoja, wachezaji kadhaa wameendelea kuhusishwa na kusajiliwa Arsenal. Katika tetesi za usajili wa  Arsenal subuhi ya leo nakuletea orodha ya wachezaji … [Continue reading]

Tumerudi tena

Kwanza kabisa ningependa kuwaomba samahani wadau wote wanaotuunga mkono kwa kushindwa kuwa hewani kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja. Sababu kubwa za kupotea ni mbili. Moja, kulikuwa na matatizo ya kiufundi ambayo yalisababisha kupoteza … [Continue reading]