Alisher Usmanov aamua kuuza hisa za Arsenal kwa Stan Kroenke

Bilionea wa Kirusi,Alisher Usmanov ameamua kuziuza hisa zote alizokuwa anamiliki kwa bilionea wa kimarekani Stan Kroenke. Kroenke,ambaye kwa sasa ndiye mwenye hisa nyingi za Arsenal, anamiliki asilimia 67 ya hisa zote na ana mpango wa … [Continue reading]

Mambo matano niliyoyaona katika mechi za kirafiki

Jumamosi iliyopita Arsenal ilimaliza mechi za kirafiki kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa ligi na michezo mingine baada ya kuifunga timu ya Lazio ya Italia kwa jumla ya magoli 2-0. Nimebahatika kuiangalia kwa makini michezo yote ambayo … [Continue reading]

Tetesi-Reiss Nelson akubali mkataba mpya wa miaka mitano

Mchezaji kinda wa Arsenal,Reiss Nelson inasemekana amepewa mkataba mpya wa muda mrefu huku akiongezewa mshahara. Katika taarifa tulizopata muda mchache uliopita ni kwamba Nelson amepewa mkataba huo mpya baada ya kuonesha kiwango kizuri katika … [Continue reading]

Tetesi-Calum Chambers anakaribia kutua Fulham kwa mkopo

Beki wa kati wa Arsenal, Calum Chambers anakaribia kutua Fulham kwa mkopo wa mwaka mmoja.Katika taarifa tulizozipata kutoka kwa vyanzo mbalimbali ni kwamba leo jumatatu mchezaji huyo atafanyiwa vipimo vya afya na kukamilisha uhamisho … [Continue reading]

Arsenal yaifunga Lazio 2-0

Arsenal leo ilicheza mchezo wake wa mwisho wa kirafiki na kufanikiwa kumaliza kwa ushindi baada ya kuifunga timu ya Lazio ya Itali kwa jumla ya goli 2-0. Goli la Reiss Nelson katika kipindi cha kwanza na la Aubamayang katika kipindi cha pili … [Continue reading]

Joao Virginia ajiunga na Everton

Arsenal imeendelea kusafisha kikosi chake baada ya golikipa wa timu ya vijana Joao Virginia kukamilisha usajili na kujiunga na timu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingeleza. Habari za kuhama kwa Joao Virginia zimewaacha kwa mshangao … [Continue reading]

Alex Iwobi asaini mkataba mpya wa muda mrefu ili kubaki Arsenal

Alex Iwobi amesaini mkataba mpya na wa muda mrefu ili kuendelea kuichezea Arsenal.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 ni mhitimu wa chuo cha soka cha Arsenal cha Hale End na amekuwa katika timu tangu akiwa na miaka 9. Iwobi … [Continue reading]

Chuba Akpom ajiunga na PAOK

Mshambuliaji mwenye asili ya Nigeria Chuba Akpom has  amejiunga na timu ya kigiriki PAOK Salonika katika mkataba wa kudumu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na chuo cha soka cha Arsenal akiwa na umri wa miaka 6.Aliichezea kwa … [Continue reading]

Arsenal yaifunga Chelsea katika mchezo wa kirafiki

Alex Iwobi alifunga penati ya ushindi na kuisaidia Arsenal kuifunga Chelsea kwa penati 6-5 katika mchezo mkali kuwania kombe la kimataifa uliofanyika mjini Dublin. Second-half substitute Iwobi held his nerve to clinch victory for the Gunners at … [Continue reading]

Lucas Torreira na Stephan Lichtsteiner waanza mazoezi Arsenal

Wachezaji wapya wa Arsenal,Lucas Torreira na Stephan Lichtsteiner jana walianza rasmi  mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa ligi na michezo mingine. Nacho Monreal, Joel Campbell na Granit Xhaka pia wamerudi na kuanza mazoezi katika … [Continue reading]