Arsenal vs Brentford-mtazamo wangu

Ndani ya muda mchache ujao timu ya Arsenal itacheza na timu ya Brentford katika mchezo wa kuwania kombe la Carabao, zifuatazo ni baadhi ya dondoo na mtazamo wangu kuhusu mchezo huu. Brentford ina rekodi nzuri inapokutana na Arsenal Kwa wale … [Continue reading]

Lacazette atoa siri ya kuifunga Everton

Mshambuliaji wa Arsenal, Alexandre Lacazette ameelezea siri ya Arsenal kubadilika katika kipindi cha pili na kufanikiwa kuifunga timu ya Everton kwa jumla ya magoli 2-0.Siri kubwa ya kupata ushindi katika kipindi cha pili ni kwamba ''kocha aliwaambia … [Continue reading]

Arsenal Vs Everton-Mambo matano niliyoyaona

Juzi jumapili Arsenal ilipata ushindi wake wa tano chini ya kocha Unai Emery baada ya kuifunga timu ya Everton kwa magoli 2-0. Katika mchezo huo kuna mambo mengi sana yaliyotokea ila haya mabo matano ndiyo yaliyovuta fikra zangu zaidi. Petr Cech … [Continue reading]

Arsenal yapata ushindi wa tano chini ya Unai Emery

Baada ya kuanza ligi kwa kusua sua na kupoteza michezo yake miwili ya mwanzo, Arsenal chini ya kocha Unai Emery inaonekana ya kwamba imeanza kubadika na imefanikiwa kushinda michezo yake mitano, minne ikiwa ni ya ligi kuu ya Uingeleza na mmoja ni … [Continue reading]

Arsenal yatangaza uongozi mpya

Baada ya leo kutangaza ya kwamba kiongozi wake mkuu Ivan Gazidis atatimkia AC Milan, Bodi ya Arsenal imetangaza uongozi mpya. Katika uongozi mpya Raul Sanllehi anakuwa mkurugenzi wa soka na Vinai Venkatesham anakuwa mkurugenzi wa … [Continue reading]

Rasmi Ivan Gazidis kuondoka Arsenal

Mkurugenzi wa Arsenal, Ivan Gazidis anatajariwa kuondoka Arsenal mwishoni mwa mwezi ujao na kutimkia katika timu ya AC Milan ya Italia. Ivan Gazidis ambaye alikuwa mkurugenzi mtendaji wa Arsenal kwa miaka 10, ameamua kuondoka na kwenda AC … [Continue reading]

KOSCIELNY AANZA KUCHEZA NA MPIRA & TORREIRA YUPO FITI

Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutoka na kuwa majeruhi. Nahodha wa Arsenal, Laurent Koscielny ameanza mazoezi ya kucheza na mpira. Katika ukurasa rasmi wa twitter wa Arsenal, kuliwekwa video inayomuonesha beki huyo wa kimataifa wa … [Continue reading]

Mechi za kimataifa-Aaron Ramsey afunga

Wakati ligi mbali mbali duniani zikiwa zimesimama kupisha mechi za kimataifa, jana Arsenal iliwakilishwa na wachezaji wawili katika mechi hizo. Aaron Ramsey Ramsey aliifungia Wales katika mchezo wa kwanza wa  UEFA Nations League … [Continue reading]

Matteo Guendouzi awa mchezaji bora wa mwezi wa nane

Wakati Arsenal ikimsajili Matteo Guendouzi mwezi wa saba mwaka huu wengi wetu tuliamini ya kwamba kiungo huyo mwenye umri wa mikiaka 19 alikuwa anasajiliwa kwa wakati ujao. Nilitegemea ya kwamba jambo la maana lilikuwa ni kumtoa kwa mkopo … [Continue reading]

Eddie Nketiah afanya mazoezi na kikosi cha wakubwa cha Uingeleza

Mshambuliaji kinda wa Arsenal Eddie Nketiah jana aliitwa na kufanya mazoezi na kikosi cha wakubwa cha timu ya taifa ya Uingeleza. Mshambuliaji huyo mwenye uwezo mkubwa wa kufunga alipata nafasi hiyo baada ya kuwa katika kikosi cha Uingeleza … [Continue reading]