Mike Dean ateuliwa kuamua mchezo kati ya Arsenal na Spurs

Mwamuzi mtata, Mike Dean amteuliwa kuamua mchezo wa ligi kuu ya Uingeleza kati ya Arsenal na Totenham Hotspurs jumapili ijayo. Uteuzi huo uliotangazwa leo na chama cha soka cha Uingelea FA umepokelewa vibaya na mashabiki wengi wa Arsenal, sababu … [Continue reading]

Sol Campbell aanza kazi kama kocha wa Macclesfield Town

Mchezaji mkongwe wa Arsenal, Sol Campbell amepata kazi yake ya kwanza kama kocha baada ya kuteuliwa kuinoa timu ya Macclesfield Town iliyopo ligi daraja la pili la Uingeleza. Beki huyo wa zamani wa kimataifa wa Arsenal na Uingeleza amechukua … [Continue reading]

Bournemouth vs Arsenal-Henrikh Mhkitaryan aliibeba Arsenal

wachezaji waliokimbia zaidi

Mara baada ya mchezo wa juzi kumalizika mashabiki wengi wa Arsenal walianza kumponda kiungo mshambuliaji wa Arsenal, Henrikh Mhkitaryan. Iwe kwenye twitter, facebook au WhatsApp asilimia kubwa ya mashabiki hao walionekana kutoridhishwa na kiwango … [Continue reading]

Bournemouth 1-2 Arsenal-Arsenal yaanza kushinda tena

Baada ya kutoka sare katika michezo mitatu ya ligi kuu, Arsenal imeanza kushinda tena baada leo mchana kuifunga timu ya Bournemouth kwa jumla ya goli 2-1. Arsenal iliingia uwanjani na mfumo tofauti na uliozoeleka wa 4-2-3-1 na kucheza 3-4-3 … [Continue reading]

Robert Pires-Arsenal wanaweza kuwa mabingwa msimu huu

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires anaamini ya kwamba vijana wa Unai Emery wapo katika mbio za ubingwa msimu huu na anaamini itawashangaza watu wengi. Arsenal haijabeba taji la ligi kuu tangu mwaka 2004, kwa sasa wanacheza … [Continue reading]

Mambo matano ambayo mashabiki wa Arsenal wanapaswa kushukuru

Kila alhamisi ya nne ya mwezi wa 11 ,baadhi ya nchi zikiwemo Marekani, Canada na nyinginezo husherehekea simu maalum ya kutoa shukrani. Wenyewe wanaiita Thankgiving. Katikaa kuunga mkono siku hii tumeamua leo kukuletea mambo matano ambayo … [Continue reading]

Wachezaji wa Arsenal waanza mazoezi-Madogo wanne waitwa

Baada ya kumalizika kwa mechi za kimataifa wachezaji wa Arsenal leo jumatano walianza rasmi mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Bournemouth utakaofanyika jumapili. Katika mazoezi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya London Colney wachezaji wanne … [Continue reading]

Sven Mislintat na Huss Fahmy wapandishwa vyeo Arsenal

Gazeti la Independent limeandika ya kwamba watendaji wawili wa Arsenal, Sven Mislintat na Huss Fahmy wamepandishwa vyeo na timu ya Arsenal. Sven Mislintat, ambaye kwa sasa ndiye mkuu wa idara ya usajili tangu ajiunge na Arsenal akitokea Dortmund … [Continue reading]

Mtazamo wangu-Msimu wa Arsenal mpaka sasa

Wakati ligi ikiwa imesimama kwa wiki mbili ili kupisha mechi za kimataifa nimeona leo bora niongelee kuhusu mwenendo wa Arsenal tangu msimuu huu uanze. Huu ni mtazamo wangu kuhusu msimu wa Arsenal mpaka sasa. Unai Emery … [Continue reading]

Granit Xhaka aiongoza Switzerland kufuzu fainali za Nations League

Kiungo wa Arsenal, Granit Xhaka akiwa nahodha wa timu ya taifa ya  Switzerland , jana usiku aliiongoza nchi hiyo kuishinda timu ya taifa ya Ubelgiji kwa jumla ya magoli 5-2 na kufanikiwa kufuzu katika fainali za kombe la  Nations League … [Continue reading]

Arsenal vs Wolves-mambo matano niliyoyaona

Juzi Arsenal ilicheza na timu ya Wolves na kufanikiwa kutoka sare ya kufungana goli 1-1,katika mchezo huo ambao Arsenal haikucheza vizuri kuna mambo mengi yalitokea na haya timu mambo matano ambayo mimi niliyaona na naamini yalichangia kwa kiasi … [Continue reading]