Arsenal vs Wolves-Mtazamo wangu

Leo katika uwanja wa Emerates kutakuwa na mchezo kati ya Arsenal na Wolves, huu ni mchezo unaokuja baada ya Arsenal kutoka sare ya bila kufungana na timu ya Sporting Lisbon Alhamisi iliyopita. Kwa sasa Arsenal inashika nafasi ya tano … [Continue reading]

Tetesi-Juan Mata kujiunga na Arsenal msimu ujao

Mtandao wa TalkSport umeandika ya kwamba mchezaji Juan Mata atajiunga na Arsenal msimu ujao baada ya kumaliza mkataba wake na Manchester United. Juan Mata yupo katika mwaka wa mwisho wa mkataba wake na kuna taarifa ya kwamba Man United bado … [Continue reading]

ARSENAL 0-0 SPORTING-ARSENAL YAFUZU HUKU WELBECK AKIUMIA

Arsenal jana ilitoka sare ya bila kufungana na timu ya Sporting Lisbon na kufanikiwa kuingia katika hatua ya mtoano ya kombe la Europa League. Kutokana na sare hiyo na pia  Vorskla kufungwa na Qarabag, Arsenal imefanikiwa kuingia katika … [Continue reading]

Kombe la Checkatrade-Vijana wa Arsenal watinga raundi ya pili

Timu ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 21 ya Arsenal jana ilifanikiwa kuingia raundi ya pili ya kombe la Checkatrade baada ya kuifunga timu ya daraja la pili, Forest Green. Joe Willock ndiye aliyekuwa wa kwanza kuwafungia vijana hao bao … [Continue reading]

Arsenal vs Sporting Lisbon-Mtazamo wangu

Arsenal leo itashuka katika uwanja wa Emirates kupambana na timu ya Sporting Lisbon kutoka Ureno katika muendelezo wa michuano ya kombe la Europa League. Arsenal ambayo kwa sasa inacheza vizuri na haijafungwa katika mechi 14 ambapo imeshinda … [Continue reading]

Tumuongelee Rob Holding

Leo nataka nichukue nafasi hii nimuongelee kwa ufupi Rob Holding na kiwango chake alichokionesha msimuu huu. Pamoja na kwamba amekuwa haongelewi sana na vyombo vya habari, mchezaji huyo wa kiingeleza amefanya mambo mengi makubwa msimu … [Continue reading]

Arsenal yaupiga mwingi ikitoka sare na Liverpool

Arsenal ilicheza soka la kiwango kikubwa katika mchezo ambao uliishia kwa sare ya goli 1-1 dhidi ya Liverpool. Goli la kusawazisha kutoka kwa mshambuliaji wa Arsenal, Alexandre Lacazette lilimaanisha ya kwamba Arsenal wangeondoka na pointi … [Continue reading]

Arsenal vs Liverpool-Muda wa kuwanyamazisha mdomo wapinzani

Arsenal leo itakuwa na kibarua kigumu wakati watakapowakaribisha vijana wa Jurgen Klop, Liverpool katika uwanja wa Emirates. Pamoja na Arsenal kucheza michezo 13 bila ya kufugwa (imeshinda 12 na kutoka sare 1) bado wachambuji wengi wa soka … [Continue reading]

Per Mertesacker Apandishwa Cheo Arsenal

Mchezaji na nahodha wa zamani wa Arsenal,  Per Mertesacker amepandishwa cheo na sasa kuwa mmoja wa wakurugenzi wa Arsenal. Katika mahojiano na gazeti la Telegraph,Mkuu wa kitengo cha soka katika timu ya Arsenal,Raul Sanllehi alisema ya … [Continue reading]

Kombe la Carabao: Arsenal kucheza na Totenham robo fainali

Baada ya kutinga robo fainali ya kombe la Carabao, Arsenal imepangiwa kucheza na mahasimu wao wakubwa Totenham Hotspurs. Katika mchezo huo uliopangwa kufanyika katika uwanja wa Emirates mwishoni mwa mwezi utakuwa ni kipimo tosha kwa vijana wa … [Continue reading]

Arsenal yatinga robo fainali ya kombe la Carabao

Timu ya Arsenal imefanikiwa kuifunga timu ya Blackpool kwa jumla ya magoli 2-1 na kufanikiwa kuingia robo fainali ya kombe la Carabao. Baada ya kulazimishwa sare na Crystal Palace,Arsenal wamezinduka na kufanikiwa kuifunga timu ya ligi daraja … [Continue reading]