Boreham Wood 0-8 Arsenal

orreJana Arsenal ilianza vyema maisha mapya chini ya kocha Unai Emery baada ya kuichapa timu ya Boreham Wood kwa goli 8-0 katika mchezo wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi. Mashabiki wengi wa Arsenal walionekana kuwa na … [Continue reading]

Arsenal yakamilisha usajili wa Sam Greenwood.

Timu ya Arsenal imekamilisha usajili wa mshambuliaji kinda kutoka chuo cha soka cha Sunderland,Sam Greenwood. Katika taarifa rasmi iliyotolewa na tovuti ya timu ya Sunderland, ni kwamba mchezaji huyo alikataa mkataba mpya wa kuendelea … [Continue reading]

Rasmi-Arsenal yakamilisha usajili wa Matteo Guendouzi

Arsenal imeendelea na juhudi zake za kujipanga upya baada ya kumalilisha usajili wake wa tano msimu huu baada ya kukamilisha usajili wa kinda Matteo Guendouzi. Matteo Guendouzi ambaye ni kiungo mfaransa mwenye umri wa miaka 19 anajiunga na … [Continue reading]

#TimeForTorreira-Arsenal yakamilisha usajili wa Lucas Torreira

Timu ya Arsenal imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutoka Uruguay Lucas Torreira.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alishiriki katika michuano ya kombe la dunia nchini Russia ambapo alicheza vizuri kiasi cha kuvutia watu wengi. Baada ya … [Continue reading]

Tetesi za usajili-Arsenal wakubaliana na FC Lorient kuhusu uhamisho wa Matteo Guendouzi

Arsenal imefikia makubaliano na timu ya Ligue 2 FC Lorient kuhusu uhamisho wa kiungo wa kati Matteo Guendouzi. Arsenal imekubali kuilipa timu hiyo ya Ufaransa ada yenye dhamani ya Euro milioni 8 na bonasi nyingine ambazo … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Chuky Lozano na Hector Herrera wanatakiwa na Arsenal

Habari kutoka Mexico zinadai ya kwamba Arsenal ina mpango wa kuwasajili Chuky Lozano na Hector Herrera katika dirisha hili la usajili. Kituo cha luninga cha ESPN Mexico jana jioni kilitoa taarifa ya kwamba wachezaji hao wawili wanatakiwa na timu … [Continue reading]

Torreira safarini kuelekea London

Mchezaji Lucas Torreira yupo safarini kuelekea London Uingeleza,Katika taarifa iliyoandikwa na mtandao  wa carasycaretas.com.uy wa nchini Uruguay  mchezaji huyo anatazamiwa kufanya vipimo Arsenal leo na baadaye kusaini mkataba wa  miaka … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Ousmane Dembele-Goncalo Guedes-Cristian Pavon na Mustafi

Wakati Arsenal wakiendelea na mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya, kuna baadhi ya wachezaji wamehusishwa na kuhama ama kuhamia Arsenal. Katika tetesi za usajili wa leo tunakuletea habari zinazowahusu wachezaji Ousmane Dembele,Goncalo … [Continue reading]

Arsenal waanza mazoezi kujiandaa na msimu mpya

Kocha mkuu wa Arsenal, Unai Emery, kwa mara ya kwanza alisimamia mazoezi ya timu hiyo akijiandaa kwa msimu mpya wa ligi kuu ya Uingeleza na michuano mingine. Katika mazoezi hayo yaliyohudhuriwa na wachezaji wote wa Arsenal ambao hawakushiriki … [Continue reading]

Tetesi za usajili Arsenal-Lucas Torreira-Benjamin Pavard-Steven N’Zonzi

Leo katika tetesi za usajili Arsenal tunakuletea habari zilizoandikwa na magazeti mbali mbali kuhusu wachezaji wanaohusishwa kuhama ama kuhamia Arsenal.Katika tetesi za leo tunaangalia wachezaji watatu ambao ni Lucas Torreira,Benjamin Pavard,Steven … [Continue reading]