Salah-Eddine ajiunga na Arsenal

Salah-Eddine ajiunga na Arsenal

Timu ya Arsenal imekamilisha usajili wa mchezaji kinda Salah-Eddine kutoka katika timu ya Feyenoord ya Uholanzi.

Salah-Eddine ambaye anajulikana zaidi kama Salah ni mchezaji mwenye umri wa miaka 17 amejiunga na Arsenal bure, kwa sasa atakuwa katika kikosi cha vijana cha Arsenal.

Salah anayeimudu vyema nafasi ya kiungo wa kati anasikifa zaidi kwa uwezo wake wa kupiga pasi na kutengeneza magoli kutoka katikati ya uwanja.

Salah ameanzia maisha yake ya soka nchini uholanzi, amekulia mjini Rotterdam, ambapo amezichezea timu mbali mbali za vijana za Feyenoord.

Usajili huo ni mwendelezo wa Arsenal wa kukusanya wachezaji vijana wenye vipaji wa gharama ndogo na kuwatunza ili ikiwezekana baadaye waichezee timu ya wakubwa ama kuwauza kwa faida.

Salah anajuwa mchezaji wa nne wa timu ya vijana kusajiliwa ndani ya wiki mbili zilizopita.

Krystian Bielik ajiunga na Derby County

Beki wa kati wa Arsenal, Krystian Bielik amejiunga rasmi na timu ya Derby County kwa dau linalokadiliwa kufikia paundi milioni 10.

Krystian Bielik ajiunga na  Derby County

Beki huyo mwenye miaka 21, aliichezea timu ya Charlton Athletic, ambapo aliisaidia kupanda kutoka daraja la pili hadi daraja la kwanza.

Krystian alijiunga na Arsenal mwaka mwezi wa kwanza mwaka 2015 akitokea timu ya

Kombe la Checkatrade-Vijana wa Arsenal watinga raundi ya pili

Timu ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 21 ya Arsenal jana ilifanikiwa

Arsenal yamsajili mtoto mwenye kipaji kikubwa Jayden Adetiba

Wakati dirisha la usajili likiwa limefungwa, Arsenal imeendelea kuwa bize katika

Wachezaji vijana wa Arsenal na nafasi yao katika msimu ujao

Wakati Arsenal ikiendelea kujiandaa na msimu mpya wa ligi, kuna baadhi ya wachezaji vijana ambao wameonesha matumaini makubwa ya kwamba wanaweza kuwa kwenye mipango ya kocha Unai Emery katika ligi kuu na michezo mingine,leo nakuletea wachezaji